Uingereza itaandaa mkutano wa kwanza wa kilele wa siku mbili utakaoanza kesho ili kuwaleta pamoja viongozi wa kisiasa, watafiti na wawakilishi wa sekta ya teknolojia ili kujadili maendeleo ya ...
KATIBUMkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo inaendelea kuimarisha sekta ya elimu nchini kupitia matumizi ya ...
Akili mnemba inazidi kuwa suluhisho la kupunguza umasikini wa kujifunza. Lunga Lunga, Nyansapo AI inaboresha usomaji kwa ...
Tangu kuzinduliwa kwake mwishoni mwa Novemba 2022, teknolojia ya akili bandia ya ChatGPT, inayotumia akili ya bandia (AI) kujibu maswali au kuunda ujumbe unapohitajika kutoka kwa watumiaji, imekuwa ...
Teknolojia ya intaneti inayowezeshwa kwa maputo kutoka kwa kampuni dada ya mawasiliano ya Google inayofahamika kama Loon imezinduliwa rasmi nchini Kenya na itawezesha upatikanaji wa mtandao katika ...
TANZANIA inaendelea kupanua wigo wa ushirikiano wa kimataifa katika sayansi na teknolojia, baada ya ujumbe wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwenda Korea Kusini kwa lengo la kufungua fursa mpy ...
SHULE 19 za msingi na sekondari katika mikoa tisa nchini zimepokea vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya Shilingi milioni 769, hatua inayotarajiwa kuboresha ufundishaji wa masomo ya sayansi na teknolojia ...
Ni kauli ya rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, akiwanyooshea kidole watu wanaoshikilia Imani potofu kuhusu ukuaji wa teknolojia barani Afrika, akisema wakati umefika kwa bara hilo kukumbatia mabadiliko ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...