Mamlaka za uchaguzi nchini Hungary zinasema chama cha upinzani kilichopata umaarufu haraka cha Tisza kina uhakika wa kushinda ...
Viongozi wa Ulaya wamempongeza Péter Magyar baada ya ushindi wake katika uchaguzi wa nchini Hungary ambao umemuondoa madarakani waziri mkuu wa muda mrefu Viktor Orban.
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sánchez yuko nchini China, hii ikiwa ziara yake ya nne katika kipindi cha takriban miaka ...
"Siku ya kwanza, niliuliza 'kwa nini hakuna wanawake tena?'," anasema Hind Kabawat. Yeye ni waziri wa masuala ya kijamii na kazi wa Syria , waziri pekee mwanamke katika serikali ya mpito aliyepewa ...
Ukomo kwa idadi ya raia wa kigeni wanaoruhusiwa kufanya kazi katika sekta ya huduma za chakula nchini Japani unakaribia ...
Kulingana na RFI, mfululizo wa mikutano umepangwa nchini Qatar kuanzia Aprili 13 hadi 17, mradi vikwazo kadhaa vitaondolewa.
Waziri Mkuu amesema serikali yake imechukua hatua ya kupunguza bei ya mafuta kote nchini, kwa sababu hata kama vita vitaisha ...
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete, (JKCI), imeanza kufanya upembuzi yakinifu kwa ajili ya kuanza kutoa huduma za upandikaziji ...
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo, amesema Serikali imepiga hatua kubwa katika ...
Sekta ya maziwa nchini imeendelea kuimarika, ikitajwa kuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi kwa kugusa maisha ya takribani kaya milioni 4.6 zinazotegemea uzalishaji na biashara ya maziwa pamoja na ...