Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara ya afya ya nchi hiyo inasema. Simu za ...
DODOMA: Rais Dk Samia Suluhu Hassan amezindua minara 758 ya mawasiliano nchini, ikiwa ni hatua kubwa ya kuharakisha mageuzi ...
Milipuko mipya imetokea hivi pude siku ya Jumatano Septemba 18 katika viunga vya kusini mwa Beirut, na pia kusini na mashariki mwa Lebanon. Milipuko ya hivi punde pia inahusisha vifaa vya mawasiliano ...
Serikali ya Uganda imezima huduma za intaneti na kupunguza matumizi ya simu za mkononi kote nchini humo, hatua iliyochukuliwa siku mbili tu kabla ya wananchi kupiga kura katika uchaguzi mkuu. Hatua ya ...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imesitisha kwa muda leseni ya maudhui ya mtandaoni ya gazeti la Mwananchi ikidaiwa kuchapisha maudhui yanayoleta tafsiri hasi kwa taifa hilo la Afrika Mashariki.